Application

TAASISI YA MAFUNZO YA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI ILEMBULA

 

MKUU WA TAASISI YA AFYA NA MAFUNZO YA SAYANSI SHIRIKISHI ILEMBULA ANATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2018/2019 KATIKA FANI YA UUGUZI NA UGANGA  KWA NGAZI YA ASTASHAHADA  NA STASHAHADA.

CHUO KIMESAJILIWA NA NACTE KWA USAJILI WA KUDUMU KWA NAMBA REG/HAS/005. PIA CHUO KINATAMBULIKA NA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO PAMOJA BARAZA LA UUGUZI NA UKUNGA TANZANIA.

SIFA ZA MWOMBAJI KWA FANI YA STASHAHADA YA UUGUZI

(DIPLOMA IN NURSING)

  • AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE AU KUENDELEA.
  • NA KUFAULU MASOMO YA SAYANSI KWA ALAMA C MBILI NA D MOJA KATI YA MASOMO YAFUATAYO FIZIKIA,KEMIA NA BAILOJIA NA D KWA KINGEREZA NA HESABU KAMA MASOMO YA ZIADA.

 

SIFA ZA MWOMBAJI KWA FANI YA UGANGA KWA NGAZI YA CHETI

(CERTIFICATE IN CLINICAL MEDICINE).

  • AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE AU ZAIDI
  • AWE NA UFAULU MASOMO YA SAYANSI KWA ALAMA D YA FIZIKIA,  D KWA KEMIA, D KWA BAILOJIA, D KWA HESABU NA D KINGEREZA NA HESABU KAMA MASOMO YA ZIADA.

 

SIFA ZA MWOMBAJI KWA FANI YA UGANGA KWA NGAZI YA STASHAHADA

(DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE).

  • AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE AU ZAIDI
  • AWE NA UFAULU MASOMO YA SAYANSI KWA ALAMA D YA FIZIKIA,  D KWA KEMIA, D KWA BAILOJIA, D KWA HESABU NA D KINGEREZA NA HESABU KAMA MASOMO YA ZIADA.

 

MAOMBI YAMESHAANZA KUPOKELEWA CHUONI

 

UNAWEZA KUPATA FOMU MOJA KWA MOJA KUTOKA KWEYE UKURASA WETU WA TOVUTI YA CHUO KUPITIA HII LINK HAPA CHINI.

 

 Application form 2018

 

KWA MSAADA NA MAELEKEZO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA

0754 440 273, 0753166086, 0762 247 761 AU 0759696222.